Friday, July 15, 2011

Ujumbe wangu wa kwanza kwa Kiswahili

Huu ni ujumbe wangu wa kwanza kwa lugha ya Kiswahili. Mimi ninajifunza Kiswahili kwa miezi michache, peke yangu, kwenye nyumbani. Mimi ni lazima tukubali kwamba hii ni lugha vigumu kwangu.

Mwanzoni hukumu chache kuhusu mimi:
Jina langu Przemek. Ninaishi Krakov. Ninafanya kazi ya ukarani, katika idara ya utangazaji, mimi ni wajibu wa ushirikiano wa kimataifa. Napenda kusoma vitabu, kusafiri, kujifunza lugha mbalimbali, ngoma. Kiswahili ni lugha yangu ya kwanza ya Afrika.
Kitabu cha msingi ambayo mimi kujifunza ni “Colloquial Swahili” (imeandikwa kwa Kiingereza). Ngumu zaidi ni kukumbuka madarasa ya maneno.

Nitajaribu mara moja kwa wiki kuposti ujumbe mfupi kwa Kiswahili.
Share:

0 komentarze:

Post a Comment